Nilifanikiwa kuhard reset kabla ya white screen. Baada ya kuhard reset siku za mbele ndiyo likaja tatizo kubwa la white screen.
Nilipokuwa nahard reset niliona:
-Reboot
-Power off, na
-Factory reset
Ndio ni mtumishi wa humu..Una uhakika kila nyuzi unaniona?? Kama huna ushahidi ni bora ukae kimya kwa maana hilo suala la kusema kila nyuzi unaniona sio kweli