Simu yangu imekumbwa na White Screen Of Death, WSOD.

Nilifanikiwa kuhard reset kabla ya white screen. Baada ya kuhard reset siku za mbele ndiyo likaja tatizo kubwa la white screen.
Nilipokuwa nahard reset niliona:
-Reboot
-Power off, na
-Factory reset
Kumbe ilikua ni zamani.

Kama haukujaribu kuiflash simu ilienda kwenye huo weupe yenyewe hiyo ni kesi ya konekta ya kioo na soketi au kioo chenyewe kimekua manjegeka.

Nenda kwa fundi.
 
Kumbe ilikua ni zamani.

Kama haukujaribu kuiflash simu ilienda kwenye huo weupe yenyewe hiyo ni kesi ya konekta ya kioo na soketi au kioo chenyewe kimekua manjegeka.

Nenda kwa fundi.
Nashukuru Mkuu.
Sijawahi kuiflash hii simu, hapo kama ulivyosema, tatizo linaweza kuwa connector au kioo chenyewe.
Itajulikana mbele ya safari!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom