Life.co.tz
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 641
- 372
Ni Samsung GT-S5303 ipo slow mpaka natamani kuitupa nn tatizo. Mf kufungua Fb. WhatsApp
mpaka makata tamaa. msaada wenu plz
mpaka makata tamaa. msaada wenu plz
vp kuusu apps unaa apps nying kwny sim yako ...je umeeangalia ram imebaki ngap pia kma kwny upand wa internet bas jaribu kuset upya qlifiction zako za internet yan uweke kule kwny access point name hiv Username CHOCHOTE apns INTERNET...........JARIBU KWNZA HVY ila kma apps n nying bas pnguza zile unneccessary APP
Mkuu simu yako ni smartphone za chini sana ambazo unahitaji kuweka apps chache sana na zenye ujazo mdogo
Ushauri wangu hutakaa uifurahie hiyo simu inauwezo mdogo mmno
Jipinde nunua nyingine yenye angalau 1gb ram
Upo dar? 0655500066wakuu na yangu ni LG F-240L touch screen yake imenigomea yani imekataa kutoa pattern lock....mafundi mko wapi jamaniii...
Sasa kipindi najipinda nikute natumia hii. ni apps gan yanifaa kwa kacm kangu? Ram ktk cm inasoma hivi - 1.2Gb used. 0.89Gb free.
Nimefuts apps baadhi na imesomeka hivi 1.2Gb used.
0.89Gb free.
access point cjaiona kwa cm hii au cjui
plz nipe mwongozo
Kama nilivyosema simu hii inauwezo mdogo sana
Hakikisha unakua na apps chache sana muhimu kama whatsap
Apps zote ambazo unaweza kuperuzi kwa browser usizi install mfano Facebook, instagram, jamiiforums tweeter nk
Browser tumia ya simu au uc browser ambayo ipo very light
Achana na ma apps mengine kama viber, cleaner, antvirus nk
Miziki picha na mengine hakikisha vinakuwa stored kwenye memory caryd
yap asante kwa muongozo. Nimefuta apps na imeongoza speed.
So hata cleaner na Antivirus nikiziondoa cta sababisha problem in future?
inawezekana ktk simu yako umeweka default write disk ni phone memoryMimi pia ninashida ktk simu yangu niki download app yoyote inasema no space wakatiGB kibao zipo
Soma Hapa Utaelewa FANYA HAYA IKIWA SMARTPHONE YAKO YA ANDROID IPO SLOWNi Samsung GT-S5303 ipo slow mpaka natamani kuitupa nn tatizo. Mf kufungua Fb. WhatsApp
mpaka makata tamaa. msaada wenu plz