Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizo,simu ni mpya kabisa aina ya samsung galaxy ace, tatizo kubwa nikipigiwa/nikipiga simsikii mtu wa upande wa pili.
Pia internet ipo slow sana, na line hiyohiyo nikiiweka kwenye simu nyingine internet inakua ipo fasta.
Nisaidieni nifanyeje ?