Simu yake imenikumbusha kosa langu

Simu yake imenikumbusha kosa langu

13 years leter, vidume flani hivi idadi siikumbuki vimeshamlegeza kinoma noma, alishazaa na akufunga na uzazi
 
ila mis chagga ni funga kazi, nimekukubali mkuu. sidhani kama stress ina nafasi kwa maisha yako.

Mungu akutunze
Yupo huru sana, nimekuwa so interested.
 
Hata mimi nilishawahi kumuonea huruma bikira, hadi akavaa nguo na kuondoka zake! ila story zetu zipo tofauti.
Suala la kumbembeleza ili nifanye masahihisho ya jaribio langu, lilifanikiwa na nikavunja kikombe, na kwa sasa ndio mke wangu.
haya mambo...nilishawahi kumuonea huruma bikra pia,daaah nikikumbuka
 
Kabila gani ndio linazalisha mafala kwa wingi hapa TZ
don't quote me wrong bhana, mimi nimezungumzia wachaga ninaowajua/kuwafahamu.

hilo swali lako naomba unisaidie jibu.

hahhahahahahahha
 
don't quote me wrong bhana, mimi nimezungumzia wachaga ninaowajua/kuwafahamu.

hilo swali lako naomba unisaidie jibu.

hahhahahahahahha
Mi nadhani kule kusini kwenye kona kabisa..
 
Vitu vingine acheni kuvifananisha na dushe. Hivi kweli wakati ule f3 ulikuwa na dushe au kinjiti?
 
Leo nimepokea simu, namba ngeni, baada ya maongezi, nimekumbuka hiki kisa, nikasema ngoja niwasimulie.
Mahusiano yalianza wiki chache (kama mbili hivi) baada ya kuhamia nyumbani kwetu wakiwa kama wapangaji.....

Baada ya siku kadhaa tulianzisha mahusiano, yalinoga sana maana tulikutana wote ni watu wacheshi, wapenda utani, yaani kwa kifupi tulikuwa kama kopo na mfuniko wake.
Aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom