hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 832
- 335
Ndugu, ya nini kuhangaika na mambo ya mpenzi wako? Wewe hangaika na kutafuta Fedha tu. Fedha zikusumbue, na mwanamke pia akusumbue? Angriiiiiii!
Kinachotakiwa ujiepushe na kumfuatilia fuatilia na kuliza uliza maswali, utaepusha mengi.
Ukimuona ana simu hata 3, au ana namba ambayo wewe huijui usimuulize kitu, wewe zingatia tu jinsi anavyotimiza majukumu yake katika penzi lenu.
mapenzi ya siku hizi bila kugombana yanakuwa hayana stimu/
pia ruksa kushikana sio kushikiana simu/
Habari wana ukumbi, naomba tupeane mawazo na ushauri juu ya hili, simu ya mpenzi nimeidivert na call recordings akashtuka sasa majuzi nimebamba na simu nyengine na line nyengine ambayo hutumika mimi nikiwa sipo, anasema ni ya mazingumzo ya siri kati yake na familia yake. Tupeane ushauri mimi limeniumiza kichwa
achana na presha za simu wanawake ni wajanja hata ukimzuia kutotumia simu akiamua kuchepuka atachepuka kwani zamani kabla ya simu watu walikuwa hawachepuki,angalia mapungufu yako yafanyie kazi,mtunze,mgegede vizuri mpende etc atatuliaHabari wana ukumbi, naomba tupeane mawazo na ushauri juu ya hili, simu ya mpenzi nimeidivert na call recordings akashtuka sasa majuzi nimebamba na simu nyengine na line nyengine ambayo hutumika mimi nikiwa sipo, anasema ni ya mazingumzo ya siri kati yake na familia yake. Tupeane ushauri mimi limeniumiza kichwa
mkuu hayajakukuta nn
yani kama chake changu na changu chake how cme niiogope sim yake?
mkuu hayajakukuta nn
yani kama chake changu na changu chake how cme niiogope sim yake?