Simu ya Samsung A30 inauzwa kwa bei nafuu

Simu ya Samsung A30 inauzwa kwa bei nafuu

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,442
Reaction score
110,082
Habari.
Nauza simu ya Samsung A30 toleo la mwaka huu, simu ina miezi mitano tu toka inunuliwe, ipo katika hali nzuri ila tu Screen Protector ndio imecrake..
SPECS.
●4GB RAM
●64HDD
●Laini Mbili
●MP 16
●Mengine jionee mwenyewe hapa..Ukinunua utapewa na Cover zake (zipo)Charger yake na Lisiti.
○Location:Sakina _ Arusha Tanzania
■Bei ni 450000 tu ila inazungumzika.
[emoji724]Mkoani itaagizwa.
Mawasiliano yafanyuke Pm.. Ukiwa interested niambie niku_Pm
□Sababu ya Kuuza ni Vyuma vimekaza!

Yours
~Vers
View attachment 1262924View attachment 1262927View attachment 1262926View attachment 1262925View attachment 1262928View attachment 1262929
 
..
20191112_112318.jpeg
 
Karibuni..Achaneni na Tecno ni agent wa umaskini
 
Woow.. Hebu lete bei ya A30 OG tuone. Usiwe unazungumzia hizo simu mnazonunua kwa mafungu pale Guangzhou hafu mnauziwa kariakoo
Samsung A30 mpya ni chini ya 400K. Halafu wewe hiyo used unauza 450K?

Anyway biashara njema na komenti inafutwa soon usije sema nakuharibia biashara yako.

Unforgetable
 
Dada kaka achana na Tecno, zinkuletea mikosi Chukua kitu hiko high kwaliti. Uje kwenye ulimwengu wa Brand
 
Kwahiyo mmeamua kubaki na Itel na kuacha kitu hicho toka Seul Korea
 
nimetumwa nikwambie bei ikifika laki na nusu uniambie nikawambie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom