Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Kampuni ya Nothing phone imetoa taarifa rasmi kuwa simu aina Nothing phone 3 itaweza kupokea support ya muda mrefu ya Android support kwa muda wa miaka Saba bila shida yoyote.
Mwanzilishi msaidizi wa Kampuni hiyo Akis Evangelidis aliweza kutoa maelezo hayo kupitia mtandao wa X ambapo alithibitisha kuwa toleo jipya la Nothing phone 3 itaweza kupokea Android support & security update kwa muda wa miaka Saba.