Kwa usalama wa afya yako na ulinzi wa watoto na vyombo vya thamani,,, usipekue simu yake.
Kwa wapenzi waaminifu, pekua simu yake maana ni fahari ya zawadi waliokosa wengi.
Kwa usalama wa afya yako na ulinzi wa watoto na vyombo vya thamani,,, usipekue simu yake.
Kwa wapenzi waaminifu, pekua simu yake maana ni fahari ya zawadi waliokosa wengi.
Mimi naona Ni fahari kubwa na Ni kitu cha kujivunia kupekua cm ya mkw wangu na yeye yuko huru kuangalia yangu. Kwa nini ujifiche huko Ni kukosa uaminifu na mapendo kwa familiar yako
'Kupekua'.... Hapana! Whether wanandoa au vinginevyo. Usijitengenezee matatizo yasiyo na lazima... Tumia simu yake kama kawaida,ikitokea umekuta msg ya ajabu then uta-deal nae...ila isiwe unashika simu yake daily kwaajili ya kupekua. Not good,trust me#