Ni serikali dhaifu kabisa ya CCM!Wanajanvi kilichonitokea leo sijaamini macho yangu nimeona simu yangu ya kichina ya nokia itoa moshi mfukoni jamaa yangu kaniambia, mwanangu uweweka fegi mfukoni hujanyunda vizuri nikawa nashangaa mfuko unatoa moshi kutoa naona simu imeandika maneno mekundu ya kichina nimeitupa na cjui imelipuka ama vip. HIZI BIDHAA FEK CHANZO CHAKE TANZANIA NI NIN?
Ni serikali dhaifu kabisa ya CCM!
Hapana, ni serikali dhaifu, ya wezi, vibaka na mafisadi ambao wameshindwa kudhibiti uingizwaji wa bidhaa za kughushi toka mashariki ya mbali, bidhaa zinazowasababishia hasara kubwa na madhara watanzania. Kwa hakika hii serikali ni dhaifu na labda hatutapata serikali nyingine dhaifu kama hii, hebu fikiri; wana polisi, wapelelezi, intelijensia, majeshi ya ulinzi na usalama, TBS, na kila kitu cha kufanyia kazi; lakini wameshindwa hata hili rahisi la kuwadhibiti vibaka wenzano waliokuwa wakichakachua mafuta ya diesel na petroli kwa kuyachanganya na badala yake wamepandisha bei ya mafuta ya taa yaliyokuwa yakiuzwa 700/= hadi 2000/= sawa na Petroli! Down with CCMNi kweli serikali dhaifu ya CCM ndo iliyomshauri na kumpa pesa za kwenda kununua simu fake....
Sina cha kuongezea hapa!!Hapana, ni serikali dhaifu, ya wezi, vibaka na mafisadi ambao wameshindwa kudhibiti uingizwaji wa bidhaa za kughushi toka mashariki ya mbali, bidhaa zinazowasababishia hasara kubwa na madhara watanzania. Kwa hakika hii serikali ni dhaifu na labda hatutapata serikali nyingine dhaifu kama hii, hebu fikiri; wana polisi, wapelelezi, intelijensia, majeshi ya ulinzi na usalama, TBS, na kila kitu cha kufanyia kazi; lakini wameshindwa hata hili rahisi la kuwadhibiti vibaka wenzano waliokuwa wakichakachua mafuta ya diesel na petroli kwa kuyachanganya na badala yake wamepandisha bei ya mafuta ya taa yaliyokuwa yakiuzwa 700/= hadi 2000/= sawa na Petroli! Down with CCM
Wanajanvi kilichonitokea leo sijaamini macho yangu nimeona simu yangu ya kichina ya nokia itoa moshi mfukoni jamaa yangu kaniambia, mwanangu uweweka fegi mfukoni hujanyunda vizuri nikawa nashangaa mfuko unatoa moshi kutoa naona simu imeandika maneno mekundu ya kichina nimeitupa na cjui imelipuka ama vip. HIZI BIDHAA FEK CHANZO CHAKE TANZANIA NI NIN?
hii ni hoja ya msingiChanzo ni uwepo wa wateja kama wewe.....
ni serikali dhaifu kabisa ya ccm!
Hizi nakumbuka ndo zina tabia hizo