mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
Hawez ipata nina chemba kwenye gari nakoficha kondom pia hawez pajuaKwan ukiwa na simu mbil haitadakwa
Id yako ya Jf haifaham ndugu?Hawez ipata nina chemba kwenye gari nakoficha kondom pia hawez pajua
Uko vzur kwel umejipangaHawez ipata nina chemba kwenye gari nakoficha kondom pia hawez pajua
Social netwk ilimpota kushotoId yako ya Jf haifaham ndugu?
Acha tuu nawaza usiku hatamtafuta au ndio atasema natoka one timeMwaka huu mkewe ataisoma!
Hahahaha acheni uchokoziMwaka huu mkewe ataisoma!
Acha tuu nawaza usiku hatamtafuta au ndio atasema natoka one time
Acha tuu nawaza usiku hatamtafuta au ndio atasema natoka one time
Ahaa hvo kumbe bas mpe ushaur kijanaUsiku hatuwasilianagi ni muda wa mapumziko
Acha zinaa ndugu yangu, Linda heshima ya mkeo.Jaman mwenzenu nimechoka kudakwa kila siku na msg za mchepuko!
Sasa naamua kuwa makini na nimeona nitafute kishikwambi kwa ajili ya mchepuko ambayo wife hataijua
Bajeti ni laki moja mwenye smartphone used iwe kwa hali nzuri aje dm aniuzie na kuokoa ndoa yangu
mkuu, nakushauri baki njia kuu.Jaman mwenzenu nimechoka kudakwa kila siku na msg za mchepuko!
Sasa naamua kuwa makini na nimeona nitafute kishikwambi kwa ajili ya mchepuko ambayo wife hataijua
Bajeti ni laki moja mwenye smartphone used iwe kwa hali nzuri aje dm aniuzie na kuokoa ndoa yangu
Apo umenena mwache ajifarague.... Wengi id za mate wanazo...MTU anatupia story wife anasoma anakubamba haaahaaaId yako ya Jf haifaham ndugu?