mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 222
Mama: calling--------
mimi: hellow mama shkamoo
Mama: marahaba baba za uzima
mimi: njema mamaangu mungu anasaidia vipi nyie hukoo
mama: huku kwema baba ile hela nimepata asnte mungu akubariki 🙏
mimi : ahaaah 😀😀usijar mamaangu nikawaida
mama: sawa mwanangu uwe na asubhi njemaa
mimi :asntee mama ilove ❤️❤️❤️
call ended