Simu ya kisasa kwa 250k(laki2.5)

Simu ya kisasa kwa 250k(laki2.5)

Mkuu tafuta infinix hot s x557. Ram 2gb internal storage 16gb. Camera mbele 5 MP na nyuma 8mp. Bettry 4000mahr. Connectivity 2&3G only.

Iko powa sana. Ninayo inakaaa na charge zaidi ya siku moja ikiwa connected na internet muda wote. Sijawahi kuzima data

Bei btn 290~300k
Ntaitaka hiii
 
Nahitaji simu nzuri kwa kama milioni moja na laki saba hivi sitaki samsung wala iphone, hata ikifika milioni mbili kamili sio mbaya maana ndo mwishowa bajeti yangu kwa simu.
 
Mwenye kuhitaji hii simu anicheki. Aje na 250k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie sio muuzaji. Hiyo ni average price Y maduka ya darslam. Kwa Sasa Unaweza ikawa imeshuka kidogo.

Ila tu inakuja betrery isiyotoka
Mmmh hiyo betri isiyotoka ndo mbaya so infinix zote betri zake hazitoki?
 
Ha ha ata Sijui Ila ndo hivo. Battery zake hazitoki. Ila simu iko powa sana.

Unaweza ichek google specifications zake
 
Nahitaji simu nzuri kwa kama milioni moja na laki saba hivi sitaki samsung wala iphone, hata ikifika milioni mbili kamili sio mbaya maana ndo mwishowa bajeti yangu kwa simu.
We jamaa mbabe.

Niko naitafuta hiyo simu,siioni umeshaipata???
 
Back
Top Bottom