Simu ya kisasa kwa 250k(laki2.5)

Simu ya kisasa kwa 250k(laki2.5)

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Taja simu ya kisasa yenye kamera kuanzia 8 mp, ram 1 au 1.5, display 4.5 au 5. Kama ipo yenye zaidi ya hivyo au sawa na hivyo tusaidie kushare.
Warning: isiwe used au model za tecno, itel na vodafone. Isizidi 300k(laki tatu) na isipungue 250(laki 2.5)
 
Leta laki 3 nikupe Sony Xperia C3
- 8MP primary camera
- 5MP selfie camera with led flash
- Battery ndio balaa
- Display 5.5"
 
Nahitaji simu iwe kwenye hali nzuri.
Kioo - 4"+ ,
internal memory 4GB+,

Budget - Tsh.90,000/=.

Nicheki kwa sms na call 0756851815.

sent by Samson Cyper
 
Mkuu tafuta infinix hot s x557. Ram 2gb internal storage 16gb. Camera mbele 5 MP na nyuma 8mp. Bettry 4000mahr. Connectivity 2&3G only.


Iko powa sana. Ninayo inakaaa na charge zaidi ya siku moja ikiwa connected na internet muda wote. Sijawahi kuzima data


Bei btn 290~300k
 
Nahitaji simu iwe kwenye hali nzuri.
Kioo - 4"+ ,
internal memory 4GB+,

Budget - Tsh.90,000/=.

Nicheki kwa sms na call 0756851815.

sent by Samson Cyper
Mkuu kwa 90k dukani zimejaa kila kona usiangaike na used zipo kama dagaa nikuchagua wewe. Kutokana na ulivyoandika hapo juu
 
Back
Top Bottom