Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,683
- Thread starter
-
- #21
Acha tu ninyimwe na ninyime haki
simu ya mupenzi siwezi kuacha kuikagua daima na milele najua na yangu anaikagua asubuhi, mchana na usiku
hayo ndo maisha tuliyochagua na tumeyazoea
Evelyn Salt Msukuma wangu, mbona unapekua na simu ya ofisi? unasaka nini huko??
Mkuu unatakiwa kuwa makini sana,mi pia ilinitokea mda flani,unakuta sijaonana naye kwa mda mrefu halafu kwa mda huo tukiwa pamoja yupo busy tena na simu,unaongea mambo ya msingi na mtu ye anareply anajibu tu "mmmh,mmmh"ndiyo" kumbe akili yake ipo kwenye chatting,nilimgombeza sana ila utakuta karudia tena,siku alipojisahau nikachukua simu nikakuta kumbe ametupanga.No mercy hapo hapo nilimpiga kibuti mazimaMimi simu ya mpenzi wangu siikagui na sitaki kuigusa kabisa, sema kinachonikera ni tabia yake ya kuwa busy na kuchat tuwapo pamoja yaan mpaka inakeraaaa!!
Sijui wakuu hua mnafanyaje ktk situation kama hiyo kwasababu nimemkanya ila naona kawa addicted na social networks...i hate it!!
Usiri wa nini wakati nyie ni mwili mmoja??
Tatizo ni kwamba wanaume wengi simu yake ni ya kwake peke yake,simu ya mkewe ni yake pia.,hapo ndo shida za kukaguana huanza.
Usiri wa nini wakati nyie ni mwili mmoja??
Tatizo ni kwamba wanaume wengi simu yake ni ya kwake peke yake,simu ya mkewe ni yake pia.,hapo ndo shida za kukaguana huanza.
Mkuu unatakiwa kuwa makini sana,mi pia ilinitokea mda flani,unakuta sijaonana naye kwa mda mrefu halafu kwa mda huo tukiwa pamoja yupo busy tena na simu,unaongea mambo ya msingi na mtu ye anareply anajibu tu "mmmh,mmmh"ndiyo" kumbe akili yake ipo kwenye chatting,nilimgombeza sana ila utakuta karudia tena,siku alipojisahau nikachukua simu nikakuta kumbe ametupanga.No mercy hapo hapo nilimpiga kibuti mazima
Siri gani ambazo hutaki mkeo/mumeo azifahamu???
Hapo kuna shida mkuu!
Mkuu angalia Kiswaili chako!