Simu simu simu

Simu simu simu

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
Wapendwa wadau kuna biashara simu mpya kampuni ya at&t samsung ziko sokoni tunaziuza kwa jumla na rejareja ni simu nzuri smart phone
Ukipenda pm me nitaleta ulipo..keshi tutaziuza arusha
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1378049631852.jpg
    uploadfromtaptalk1378049631852.jpg
    74.5 KB · Views: 278
Ingekuwa vema kama ungeztaja model zake iwe rahc hata ku gugo il mtu awezechagua aipendayo
 
Ndugi zangu model ni at&t kampuni ya samsung ni new brand phone kama inavyoonekana kwenye picha
 
Bei maelewano kutona na idadi zinauzwa kwa jumla so pm me
 
Bei maelewano kutona na idadi zinauzwa kwa jumla so pm me

Takwenya mama yeyoo,
subai sie?
Binti ya Narosoito unajua ikileta Tangaso kama hii inatakiwa iwe imeeleweka fema,
sasa wewe nausa simu, husemi beyi, huseni modali yake, husemi wewe iko mkoa ipi, nasani wanunusi wana muda ya kuumisa kichwa yake kuasa kujiuliza watapata wapi wewe, tcheeee mama yeyoo batilika biashara ya sasa sio kama kuusa masiwa kule Emboreet au Narakauo weka kila kitu inje inje watu tafuata wewe! lapta wewe iwe nausa ile kitu Makyembe shikia chini sana, asawise kila kitu iwe peupe pm iwe kwa mambo ingine kama ile mambo ya kitu namesa mwensie ndo naweza sungumza kwa PM!

ashe nare mama yeyooo!
 
Back
Top Bottom