Simu Samsung Galaxy S8 haishiki mtandao wa Halotel

Naomba maelekezo ya fundi mkuu we unapatikana wp na huyo fundi wako ntampataje
Hiyo pesa mpelekee fundi software tu ni ya kwake, nisha fanya hilo tatizo kwa simu yangu mara 2 sbb restore.

Ni kazi ya mda mfupi tu ya kuweka file inasoma mtandao.
 
Nataka kununua iphone 8
Habari wana Jamii Forums naomba msaada mwenye kujua nina simu mpya ya Samsung S8 inashika network ya Tigo na Voda lakimi haushiki Halotel ambao ndo mtandao ambao uko available sehemu ninayoishi.

Unakuta inashika network inaandika h+ lakin ukisearch kitu hakiji mfano Youtube haifunguki hata ukidownload kitu hakiji. Lakini nina J7 Prime nikiweka hiyo line ya Halotel inashika within sekunde moja na iko faster.

Sasa ni jinsi ya kuset ama ni nini msaada tutani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chifu mkwawa baada ya kuuziwa famba la samsung s8 nimeua ninunue iphone kutokana na uwezo wa pesa yamgu nimependa iphone 8 kwasababu ni ndogo sio simu kubwa naomba ushauri wako mkuu kutokana na hii simu nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kununua iphone 8Mkuu chifu mkwawa baada ya kuuziwa famba la samsung s8 nimeua ninunue iphone kutokana na uwezo wa pesa yamgu nimependa iphone 8 kwasababu ni ndogo sio simu kubwa naomba ushauri wako mkuu kutokana na hii simu nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu umenichekesha kweli hapo,eti umeuziwa famba.hyo simu ni original kabisa ila ni korea version,na wala hyo simu haina network lock maana km ingekuwepo ungeweka line za hapa tz zisingekubali kusoma.Hlo tatzo huweza kutibika kwa kuweka converted rom,kazi naweza kuifanya vizuri tu na simu ikawa sawa.kwa msaada zaidi tunaweza kuwasiliana.

Sent using Samsung g960f
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom