Ni net mkuu, naona 3g ndo haishiki kwa mitandao yote inashika 2g na 4g maana ikirudi 2g siwezi ku acses net japo naweza kupiga lkn ikifika 3g hauwezi fanya chochote hata kupiga ilabikifika 4g unafanya kila kituMtandao au internet
Ingia settings>>connection>>mobile network>>APN>>add
Name weka "Halotel"
APN jaza "internet"
Ukimaliza save
Chagua hio APN uliyotengeneza
hivyo hivyo
Kama ni hivi mkuu kuna uwezekano mkubwa Hio simu yako ni Tmobile ama ile mitandao ya Cdma kama sprint na Verizon.Ni net mkuu, naona 3g ndo haishiki kwa mitandao yote inashika 2g na 4g maana ikirudi 2g siwezi ku acses net japo naweza kupiga lkn ikifika 3g hauwezi fanya chochote hata kupiga ilabikifika 4g unafanya kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa nilivo bonyeza yamekuja maandishi ya kichina matupu, nikaendelea step ya pili ikaja ivotiku fuata ushauri huu tatizo litaisha
Picha yako quality ni ndogo. Piga vizuri mzeeHii hapa nilivo bonyeza yamekuja maandishi ya kichina matupu, nikaendelea step ya pili ikaja ivoView attachment 1399799
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye product name chini ya maandishi mekundu pasome paandike hapaHii hapa nilivo bonyeza yamekuja maandishi ya kichina matupu, nikaendelea step ya pili ikaja ivoView attachment 1399799
Sent using Jamii Forums mobile app
Product name :SH-G95ONHapo kwenye product name chini ya maandishi mekundu pasome paandike hapa
Ni version ya Korea hio mkuu, ili ifanye kazi kikamilifu inabidi ui unlock kwanza.
Jinsi ya ku un lock ndo nafanyaje mkuuNi version ya Korea hio mkuu, ili ifanye kazi kikamilifu inabidi ui unlock kwanza.
Hizo ni kazi za watu mkuu, ngumu ku unlock mwenyewe nyumbani, hapo hadi utafute mafundi wenye box.