Habarini ndugu naomba msaada wenu kunitajia simu nzuri na kwa bei ndogo yaani zisizidi laki tatu,nimepitia humu naona nyuzi nyingi zimepitwa na wakati
Nilikuwa nazichukulia ize ize simu za X-tigi, ulivyokuja na hii X-tigi A-10, nikapata wazo la ku google 'X-tigi 4G', huwezi amini, nimepata specs za kuridhisha za simu mojawapo ya X-tigi, nimepata "X-tigi Inspire 3", specs zake hizi hapa:TAFUTA,
X tigi A 10,
haifiki Laki 2 kwa Bei kamera 13mp rear and 8mp front. Pamoja na bonasi ya selfie stick .
Size IPO mubashara displays kama ya laptop za kawaida, 720*1280.
Speed 1.3Ghz
MEMORY YAKE KUBWA SANA.
Apps ZENYE MUONEKANO KAMA za IPhone.
OS yake ni android 6.
AMBAYO IPO.KWENYE CHATI BADO.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii inapatikana wapi bongo hiiNilikuwa nazichukulia ize ize simu za X-tigi, ulivyokuja na hii X-tigi A-10, nikapata wazo la ku google 'X-tigi 4G', huwezi amini, nimepata specs za kuridhisha za simu mojawapo ya X-tigi, nimepata "X-tigi Inspire 3", specs zake hizi hapa:
Display: 5.5 inch
Network: 2G,3G,4G.
Resolution: 720x1280
Android: v.6 (Marshmallow)
Internal memory: 16GB
RAM: 3GB
Camera: Primary 13MP, secondary 8MP.
Battery: 3200mAh.
Hii simu ni ya kununua.
Kariakoo huwezi kosa, maduka ya Kariakoo zimejaa kibao.hii inapatikana wapi bongo hii
Mkuu hii simu bei gani?Nilikuwa nazichukulia ize ize simu za X-tigi, ulivyokuja na hii X-tigi A-10, nikapata wazo la ku google 'X-tigi 4G', huwezi amini, nimepata specs za kuridhisha za simu mojawapo ya X-tigi, nimepata "X-tigi Inspire 3", specs zake hizi hapa:
Display: 5.5 inch
Network: 2G,3G,4G.
Resolution: 720x1280
Android: v.6 (Marshmallow)
Internal memory: 16GB
RAM: 3GB
Camera: Primary 13MP, secondary 8MP.
Battery: 3200mAh.
Hii simu ni ya kununua.
Bei yake?Nilikuwa nazichukulia ize ize simu za X-tigi, ulivyokuja na hii X-tigi A-10, nikapata wazo la ku google 'X-tigi 4G', huwezi amini, nimepata specs za kuridhisha za simu mojawapo ya X-tigi, nimepata "X-tigi Inspire 3", specs zake hizi hapa:
Display: 5.5 inch
Network: 2G,3G,4G.
Resolution: 720x1280
Android: v.6 (Marshmallow)
Internal memory: 16GB
RAM: 3GB
Camera: Primary 13MP, secondary 8MP.
Battery: 3200mAh.
Hii simu ni ya kununua.
Chief hii biashara tunafanyaje weka mawasiliano tuongee,Nina uhitaji wa haraka sanaasimu kama Galaxy note 4 (itakuwa used lakini) ni best kwa bei hio, hutapata nyengine nzuri kushinda hii.
kwa simu mpya, huko duniani kuna simu kama
-Motorola moto E4 version ya marekani yenye snapdragon 425
-xiaomi redmi 4 ikiwa prime ni nzuri zaidi
kwa Tanzania angalia simu kama
-galaxy J5
-huawei p8 lite
siuzi simu mkuu.Chief hii biashara tunafanyaje weka mawasiliano tuongee,Nina uhitaji wa haraka sanaa
Bei vipiNilikuwa nazichukulia ize ize simu za X-tigi, ulivyokuja na hii X-tigi A-10, nikapata wazo la ku google 'X-tigi 4G', huwezi amini, nimepata specs za kuridhisha za simu mojawapo ya X-tigi, nimepata "X-tigi Inspire 3", specs zake hizi hapa:
Display: 5.5 inch
Network: 2G,3G,4G.
Resolution: 720x1280
Android: v.6 (Marshmallow)
Internal memory: 16GB
RAM: 3GB
Camera: Primary 13MP, secondary 8MP.
Battery: 3200mAh.
Hii simu ni ya kununua.
Bei vipi
Bei yake?
Bei ni 230,000/= mpaka 250,000/= wakuu. Ukiwa msaundishaji mzuri unaipata mpaka kwa 200,000/=.Mkuu hii simu bei gani?
Ni bei gani hii sim m babaNilikuwa nazichukulia ize ize simu za X-tigi, ulivyokuja na hii X-tigi A-10, nikapata wazo la ku google 'X-tigi 4G', huwezi amini, nimepata specs za kuridhisha za simu mojawapo ya X-tigi, nimepata "X-tigi Inspire 3", specs zake hizi hapa:
Display: 5.5 inch
Network: 2G,3G,4G.
Resolution: 720x1280
Android: v.6 (Marshmallow)
Internal memory: 16GB
RAM: 3GB
Camera: Primary 13MP, secondary 8MP.
Battery: 3200mAh.
Hii simu ni ya kununua.
230,000/= mpaka 250,000/=, ukiwa msaundishaji mzuri unaopoa mpaka kwa 200,000/=Ni bei gani hii sim m baba
Pia lg g2 itakua nzur kwa budget yakesimu kama Galaxy note 4 (itakuwa used lakini) ni best kwa bei hio, hutapata nyengine nzuri kushinda hii.
kwa simu mpya, huko duniani kuna simu kama
-Motorola moto E4 version ya marekani yenye snapdragon 425
-xiaomi redmi 4 ikiwa prime ni nzuri zaidi
kwa Tanzania angalia simu kama
-galaxy J5
-huawei p8 lite