kaka kwa nini unishangaeSina comment, lakini nimejikuta nakushangaa sana sjui kwanini...
kaka ipi bora kati ya j7 prime na j7 proongeza afadhali ufikie hata 430k uchukue Samsung J5 Prime
hakuna sim hapokaka ipi bora kati ya j7 prime na j7 pro
J7 pro ni simu bora sana huwezi linganisha na J7 prime maana wanazidiana mpk uboresho wakekaka ipi bora kati ya j7 prime na j7 pro
Wewe unajua simu ? acha kupotosha etii hakuna simu kwanza inaonekana hujawahi miliki Samsung ndo kinachokupa jeuri ya kujibu hakuna simu hapo ..hakuna sim hapo
Ahaa chukua Samung Grand Prime Pro Toleo jipya kabisa kwa 340K ni nzuri inafaa kulingana na kiwango chako cha pesa .lumia hapana, ndio maana nikasema sitaki tecno na dada zake
hiyo xiaomi naipata wapimambo yote xiaomi