Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,417
- 8,047
Habari ya asubuhi wakuu,
Naomba wajuzi wa simu wanijuze simu nzuri inayoweza kumudu mikoani hasa mkoa wa mbeya, mtu anaetumia kuna mambo mengi ya Internet anatumia sana hasa youtube, ana uwezo wa kununua simu ya kuanzia laki 3 hadi 5,
Pia mnisaidie kujua mtandao gani wa simu mzuri kwa maeneo ya mbeya,
Wakuu naomba msaada wa haraka maana natakiwa nimtumie ijumaa.