Simu Nokia E71 Symbian inauzwa bei nafuu sana

Simu Nokia E71 Symbian inauzwa bei nafuu sana

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Ndg wanaJF matatizo utembelea watu, na leo yamenitembelea nalazimika kuuza simu yangu tajwa hapo juu kwa bei ya hasara kweli kuokoa maisha ya mgonjwa wangu naiuza bei ya Tsh 60,000 simu bado ina hali nzuri ingawa imetumika kwa mwaka mmoja nauza bei nafuu ili kupata nipate hela mapema kwa ajili ya matibabu, kwa atakaehitaji tafadhari tuwasiliane kupitia number ya simu 0769782386
 
Back
Top Bottom