Asante sana kwa maelezo yako mwananaHuawei utapata apps nyingi kuliko bb, hiyo ndo raha ya android, utafaidi pia 3g (bb 8520 haina) na radio
Mbwembe zote haina 3G
nani kasema haina?
hakuna simu inayotumia android ikakosa 3G
Android ndo makitu gan tenah
Wewe mujamaa acha ubishi, kwann zisiwepo?
Tafuta xtouch x402
Hiyo tecno inatumia chipset ya mediatek mt6517 ambayo haisupport 3g bali ni gsm/cdma
TCRA upuuzi mtupu..hawana lolote!
mkuu umeshindwa tofautisha 3g na cdma ndo mana unachanganyikiwa. 3g ipo both kwenye gsm line ambapo inaitwa wcdma (hspa) na kwenye line za cdma ambapo huku inaitwa evdo so unaposema haina 3g sababu inatumia cdma hujaleta maana.
Ni kweli mtandao mkubwa wa simu china (china mobile) wanatumia cdma lakini tz pia zantel wana cdma so kama hio simu tajwa hapo juu ikaekwa line ya cdma ya zantel lazma kitu kipate 3g so usiseme haina 3g.

hilo naelewa, tatizo ni kwamba hizo line za cdma watu wanatumia kwenye simu za mkononi?
Spot on mkuu, ila umesahau TTCL nao wanatumia CDMA.
mkuu nilienda ofisini kwao wakanambia hawana line za cdma bali wanatumia tu device za cdma ambazo zipo inbuilt na system yao.
Ila kuna wanaodai zipo je we umeshawah kuziona?
zipo shilingi elfu 10 mi pia ninayo yangu
mkuu buji buji hapa tunaeliminisha na jamii inatusoma .adroid ni soft ware zilizopo kwenye simu za kichina ,mara nyingi adroid tablets hupatikana zaidi kwenye apple ,samsung ,sasa wachina nao wameingiza huo mfumo kwenye simu zao za viganjani faida zake ni kuwa simu inakuwa na mambo mengi na unaweza ukapiga simu kama skype unamuona anayekupigia na wewew unamuona .buji buji ongezea nakuja.......Mzururaji android ni aina mpya ya mademu wa Kimongolia
mkuu buji buji hapa tunaeliminisha na jamii inatusoma .adroid ni soft ware zilizopo kwenye simu za kichina ,mara nyingi adroid tablets hupatikana zaidi kwenye apple ,samsung ,sasa wachina nao wameingiza huo mfumo kwenye simu zao za viganjani faida zake ni kuwa simu inakuwa na mambo mengi na unaweza ukapiga simu kama skype unamuona anayekupigia na wewew unamuona .buji buji ongezea nakuja.......

mkuu nakubaliana na hoja unayojenga hapa hebu fafanua os ni nini na IOS ni nini na sio kwa faida yangu ni kwa ajili ya jamii wanaosoma articles hizi.Android sio softwares inayopatikana kwenye simu za mchina, bali ni OS ambayo inatumika kwenye handsets nyingi ni simu ya kwanza kuuzwa ikiwa na hiyo OS ni HTC dream na wala si mchina.
Simu nyingi zinazo run android ni za samsung nadhani ndiye anaongoza soko kwa kuuza simu zenye android platfom.
Wachina wameanza tumia android hivi katibuni tu baada ya kuona imeshika sana soko na wala hawaimiliki wao android ni OS ya google.
Pili iphone hai run android bali IOS.
Kuhusu faida zake ni so poweful with rich features, stable full of applications in the market na ina uwanja mkubwa kwa madevelopers kufanya mambo yao.