Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Siku hizi wana wananunua simu kwa kilo hapo dubai wanakuja kufunga seal hapo kkoo.Simu mpya boksi lake ni sealed
Kama sio mshamba huwezi kupigwa boss
Usidanganyike kirahisi.
Siku hizi wana wananunua simu kwa kilo hapo dubai wanakuja kufunga seal hapo kkoo.Simu mpya boksi lake ni sealed
Kama sio mshamba huwezi kupigwa boss
Duuh.. kwa hiyo utazijuajeSiku hizi wana wananunua simu kwa kilo hapo dubai wanakuja kufunga seal hapo kkoo.
Usidanganyike kirahisi.


MpyaGari mpya kwa gari used unachagua nn? Mwanamke mpya kwa mashangazi unachagua nn?
Chimbo gani hilo?Aisee zanzibar kuna simu used za hatari kutoka ulaya na uarabuni,unakuta simu kali balaa afu inauzwa 150k tu au imezidi sn 180k....
Ha ha ha ha haMleta mada alikua na maana kua IST mpya kilometa 0 inauzwa millioñ 50,kwa hela hiyo hiyo unaweza kununua discovery 3 used,,ushamuelewa??
Darajani kuna maduka kibao ya simuChimbo gani hilo?
Bei zake ni cheap kuliko kkoo?Darajani kuna maduka kibao ya simu
Darajani last year nilikuta wanauza iPhone 8 plus kwa 250,000/= usedDarajani kuna maduka kibao ya simu