deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
Hii ni Nokia Lumia 620
Amazon inauzwa 205USD takriban 340000 (by nokia) (unlocked)
Vodafone UK inauzwa Euro 125 takriban 270000 (pay as you go)
Online stores South Africa na India takriban si zaidi ya 400000 (unlocked)
Airtel Tanzania inauzwa Tsh 450000 takriban 270+
USD au 210+ Euro (pay as you go)
Hivi wanatumia vigezo gani kwenye hizi bei ,maana nina wasiwasi kodi kwa wenzetu zipo juu kuliko bongo?
Kwa mpango huu bongo teknolojia itazidi kututupa mkono