Nikikujibu vibaya naona ntakuonea tu.
Hebu lete basi ukweli.
Mimi nimetoa ushuhuda ww unasema uongo na hii simu ninayoitumia ndio iliyoingia ndani ya maji..ww unasema uongo.
Mtu wa namna kama yako nikikuita mpumbavu hata sikosei..
Upumbavu unaouonyesha niwa kiwango cha lami.