Simu kuwa nje ya mtandao

Simu kuwa nje ya mtandao

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Habari wakuu, Msaada katika hili.

Nna simu aina ya BB torch 9800. hii simu ninayo zaidi ya miezi mitano ila tatizo ni kwamba kila nnapokuwa nje kidogo ya mji simu inakata network, ila nikibadilisha laini kwenye simu nyingine network kama kawaida. naomba msaada tatizo ni nini. mfano nikiwa Dar maeneo ya Kinyerezi na Kijichi.
 
wakuu au nimekosea jukwaa nimepost MMU/JLW? Msaada wakuu inafika mahali hata ndoa yangu nakuwa naiweka rehani kwa sababu ya simu. Ningependaa kujua kama simu nikimeo au tatizo configuration.
 
Habari wakuu, Msaada katika hili.

Nna simu aina ya BB torch 9800. hii simu ninayo zaidi ya miezi mitano ila tatizo ni kwamba kila nnapokuwa nje kidogo ya mji simu inakata network, ila nikibadilisha laini kwenye simu nyingine network kama kawaida. naomba msaada tatizo ni nini. mfano nikiwa Dar maeneo ya Kinyerezi na Kijichi.

Mkuu inaweza ikawa ume-setting kwenye 3G, cha kufanya ingia Option nenda kwenye network chagua 2G/3G

Ukifanya hivyo utaondokana na tatizo hilo,network ya 3G inapatikana katikati ya mji tu,ukitoka nje ya mji ni 2g kwa kwenda mbele
 
Yap hilo ndio jibu.
 
Aksanteni sana wakuu, Nashukurun sana nilikuwa nimekata tamaa kabisa na simu nikajua ni kimeo.

LONG LIVE JF, LONG LIVE GREAT THINKER.

All the best guys.
 
Karibu sana mkuu.. Pia tunashukuru kwa kurudi kwako hapa na kutupatia mrejesho..
 
unajua nini kiongozi, imenilazimu nirudi kushukuru ndg, nimepiga simu kwa mtandao ninaoutumia, nimeshika kwenye yale maduka yao wakasema badili line coz sasa hivi wanatumia 32k na sio ninayotumia lakini wapi. kumbe tatizo ni dogo tu.
 
Mkuu achana kabusa na hao jamaa wa huduma kwa wateja wa hizi kampuni zetu za mawasiliano,yaani jamaa hawajui kitu kabisa..

Siku nyingine usipote mda wako kwa hao watu.
 
Back
Top Bottom