Simu kutowaka baada ya kuilaza kwenye chaji

Simu kutowaka baada ya kuilaza kwenye chaji

Nyambiza jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,033
Reaction score
1,861
Wadau wa Tech naombeni msaada, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema.

Aina ya Simu ni Samsung yenye Battery ya ndani.
Je, tatizo linaweza kuwa wapi? Ni Battery au simu nzima imekufa?

MSAADA TAFADHALI
@ChiefMkwawa Wick Kiranga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati unailaza na chaji ilikuwa inawaka yaan ipo asubuhi unaangalia simu imezima na kuwaka haitaki
au hata km ulikuwa umezima ilikuwa na asilimia ngapi ?

au wkt unachaji ilikuwa imezima kabisa ?

na samsung gan ?
 
Niliizima wakati wa kutaka kuichaji kuamka asubuhi naiwasha haitaki ni SUMSUNG J4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom