Mkuu jaribu kuangalia configuration zako za internet. Mara nyingi kama kuna configuration za wap, ndo huwa zinaleta matatizoPoleni na majukumu wadau wa jukwaa hili,natumia xperia m ni mpya tatzo linanoikabili hii simu ni kuwa playstore inafunguka bila shida na nikisearch application zinakuja vizuri tu ila nikitaka kuinstall inagoma na kuleta notification " could not downloaded due to error 403" naomba msaada wenu wakuu