Simu kumi "10" bora zaidi kwa sasa

Simu kumi "10" bora zaidi kwa sasa

Huko mbeleni xiaomi hakuna atakaye mgusa ni noma Sana hawa jamaa

Najichanga nivute note 11pro or 12pro
 
Iphone za wizi utumika kwajili ya spea tu, l phone ukiiba wakiamu kukutafuta watakufata mpaka chumbani kwako, au Mwenyewe simu anaweza kuiblock na usiweze kuitumia ukawa nayo kama pambo tu.

Aliyekwambia simu za android huwezi kutafutwa ni nani??mchawi ni imei NO tu.

Iphone zinaibiwa sana,zinaflashiwa sana tu,ingawa zinakuwa na limitation katika ufanisi wake,inaweza ikawaka na kusoma line ila usiruhusiwe kuupdate,ukiforce inajilock tena,inaweza ikawaka isisome tena line.

Kwa matokeo hayo mawili hapo juu,hata baada ya simu zenye android 11 na zaidi kutoka,utaratibu umekuwa ni huo,ukiiflash ili kutoa lock inawaka ila haisomi line,kubadili imei siku hizi simu hazikubali.

Tofati ya iphone na simu za androi ni dharama za spare,iphone ya wizi kuiuza spare ni bei mbuzi sana kuliko samsung ya wizi kuiuza spare.
 
Quantity X Quality
------------------
Price =

Kama hataruka huo mtego atakaa hapo miaka 1000
 
Aliyekwambia simu za android huwezi kutafutwa ni nani??mchawi ni imei NO tu.

Iphone zinaibiwa sana,zinaflashiwa sana tu,ingawa zinakuwa na limitation katika ufanisi wake,inaweza ikawaka na kusoma line ila usiruhusiwe kuupdate,ukiforce inajilock tena,inaweza ikawaka isisome tena line.

Kwa matokeo hayo mawili hapo juu,hata baada ya simu zenye android 11 na zaidi kutoka,utaratibu umekuwa ni huo,ukiiflash ili kutoa lock inawaka ila haisomi line,kubadili imei siku hizi simu hazikubali.

Tofati ya iphone na simu za androi ni dharama za spare,iphone ya wizi kuiuza spare ni bei mbuzi sana kuliko samsung ya wizi kuiuza spare.

Kwamba iphone zinafurashika tu hahahahahah kuliko android utani kabisa
 
Aliyekwambia simu za android huwezi kutafutwa ni nani??mchawi ni imei NO tu.

Iphone zinaibiwa sana,zinaflashiwa sana tu,ingawa zinakuwa na limitation katika ufanisi wake,inaweza ikawaka na kusoma line ila usiruhusiwe kuupdate,ukiforce inajilock tena,inaweza ikawaka isisome tena line.

Kwa matokeo hayo mawili hapo juu,hata baada ya simu zenye android 11 na zaidi kutoka,utaratibu umekuwa ni huo,ukiiflash ili kutoa lock inawaka ila haisomi line,kubadili imei siku hizi simu hazikubali.

Tofati ya iphone na simu za androi ni dharama za spare,iphone ya wizi kuiuza spare ni bei mbuzi sana kuliko samsung ya wizi kuiuza spare.

Sasa kama hurusiwi kuapdate sever za iphone simu itafanyaje kazi file,photo lazima ziwe kwenye sever zao
 
Unavyoona latest update na security patch ni 16.4.1 kwa sasa maana yake ios 16 imeshaonyesha madhaifu.
Kwa maana sahihi simu salama ingawa sio 100% ni ile yenye Ios 16.4.1 chini ya hapo itategemea tu imekutana na mhuni wa namna gani.

Ndio sababu zinazofunguliwa hazifunguliwi kwa latest ios ila zinarudishwa nyuma ili iwe rahisi.
 
Iphone za wizi utumika kwajili ya spea tu, l phone ukiiba wakiamu kukutafuta watakufata mpaka chumbani kwako, au Mwenyewe simu anaweza kuiblock na usiweze kuitumia ukawa nayo kama pambo tu.
Sio miaka hii watu wana unlock iPhone like any other phone ..nenda mwaza pale Near makoloboi....vile vile remember saga la iphone ya gaidi flan wa al Qaeda mbona waisrael wali unlock na wakaitumia ......hapo sitataja chambers za kariakoo hukoo n balaa zaid....soo uskariri tena suala hilo..ni outdated
 
Sio poa unavyolichukulia hili swala ukienda hiyo mitaa kuna watu wanazo nyingi tu tena mpya hizi 13 na 14 lakini wameweka tu wameshindwa
 
Kukimbizana na matoleo ya simu na chenyewe kipaji , mana kila sku zinatoka matoleo mapya , mimi simu nikinunua mpya mpak inizingue ndo nanunua nyingine
 
Mkuu nafanya kaz na weupe hapa tukiwa geita ilipigwa iphone tukiwa kwa gari ...na n latest tuliitafuta kwa mbinu kazaa ilibuma mwsho nlitangaza dau tukaipata cha ajabu tulikuwa wanazengo wametoa lock....siwez kukupa full details ila iPhone wahun wana break kama kawa
 
Kukimbizana na matoleo ya simu na chenyewe kipaji , mana kila sku zinatoka matoleo mapya , mimi simu nikinunua mpya mpak inizingue ndo nanunua nyingine
Sometimes unafuatilia tu kujua nini kipya kimeongezwa
Kwangu mimi huwa ninaona kufuatilia simu mpya ni interesting. So nafanya kama hoby
 
Back
Top Bottom