Simu kumi "10" bora zaidi kwa sasa

Simu kumi "10" bora zaidi kwa sasa

As long as phone ni android hata iwekwe mikogo gani kwangu naona yakawaida tu. .kwangu mm chakwanza ni security mengine yanafuata
 
Hivi ni security gani ambayo wabongo mnaikosa kwenye Android mnaipata huko iOS?
Hebu mtuibie siri, Mimi binafsi na iOS hatuendani hata punje
Jaribu kwenda na ios device kkoo waambie watoe/reset kua mpya ukiwa umeilock then lete mrejesho,fanya hivyo hivyo kwa android
 
Jaribu kwenda na ios device kkoo waambie watoe/reset kua mpya ukiwa umeilock then lete mrejesho,fanya hivyo hivyo kwa android
Kumbe unaongelea security hiyo.... Basi tunatofautiana
Ni nadra sana kuingia katika hali ambayo hiyo security itakusaidia ila kuna watu watakuwepo tu wanareset vizuri hata hizo iPhone
 
Kumbe unaongelea security hiyo.... Basi tunatofautiana
Ni nadra sana kuingia katika hali ambayo hiyo security itakusaidia ila kuna watu watakuwepo tu wanareset vizuri hata hizo iPhone
Iphone ni ngumu especially kuanzia iphone 11, huwez kuzifyatua kama zinavyofyatulia samsung, wezi wengi hawapend kuiba simu za ios wengi wanapenda simu za android..
 
Iphone ni ngumu especially kuanzia iphone 11, huwez kuzifyatua kama zinavyofyatulia samsung, wezi wengi hawapend kuiba simu za ios wengi wanapenda simu za android..
Mbona watu wenye iPhone wanaibiwa Sana, au ni wezi gani hao hawapendi kuiba iPhone

Hii security ambayo Wabongo wanang'ang'ana nayo haiwasaidii chochote kwa sababu wengi wao wamenunua simu kwa kufuata mkumbo kwa hiyo hawana uelewa na haya mambo kwa hiyo hata siku wakiibiwa wanashindwa wafanye nini ili kupata simu zao
 
Hapo ndio tatizo ila me najua nini nifanye nikiwa na hiyo simu, wezi hawazipend sana hizo simu na simu ambazo hazibadilishik imei... Ukiona ameiba anakuwa kaiba na hajui kama ni iphone akijua hakuna kwa kuipeleka, zaid zaid wanauza spea na nlisikia iphone wanakuja na technolojia yakuzuia hata izo spea, nnachokisema nna experince nacho nashinda sana aggrey mkuu kama unapajua
 
Leo nimeona nilete list ya simu kumi bora kwa sasa. Simu nyingine zimetoka mwaka Jana na nyingine zimetoka mwaka huu na kwenye hii list zote hizi ni flagship. Sitaelezea sana nitaweka tu jina la simu na picha.
Kabla hujaendelea, jua hii list nimeirank according to me kwa hiyo ukiona kuna sehemu haipo sawa unaweza kunirekebisha

1. Samsung Galaxy S23 Ultra
Hii ni simu ya mwaka huu na nimeona ndio simu bora zaidi kwa sasa. Katika Samsung Galaxy S23 series hii ndio ina mwonekano premium, lakini S23 plain na S23 plus zina mwonekano cheap kwa mtazamo wangu.
View attachment 2515127
2. Apple iPhone 14 Pro Max
Kwenye list yangu hii ndio simu pekee isiyotumia Android.
View attachment 2515131
3. Vivo X90 Pro Plus
Kuna uwezekano kwa sasa hii ndio most premium Chinese flagship lakini kwa bahati mbaya ni Chinese version. Global release yake haijajulikana kama itakuwepo. Vivo X90 Pro inaweza kuwa released globally lakini hii Vivo X90 Pro Plus Ina probability ndogo. Bei ni around TSh 2.3M AliExpress, very fair price [emoji847
View attachment 2515141
4. One Plus 11
Hii ina Chinese version na Global version yake. Bei ni around TSh 1.8M AliExpress
View attachment 2515145
5. Xiaomi 13 Pro
Hii ni flagship ya mwaka jana kutoka kwa kampuni ya Xiaomi a.k.a "Chinese Apple". Kuna Chinese version kwa sasa ila Global version inaweza kutoka mwaka huu. Bei ni around 2.2M AliExpress, very fair price . Mwaka huu Xiaomi hajatoa flagship bado
View attachment 2515162
6. Samsung Galaxy S22 Ultra
Hii ni flagship ya Samsung ya mwaka jana. Bei ni around TSh 1.7M AliExpress. Very fair price
View attachment 2515181
7. Xiaomi 12S Ultra
Hii ni flagship ya Xiaomi ya mwaka jana ambayo kwa mara ya kwanza ilionesha nia thabiti ya Xiaomi kwenye kutoa simu zenye kamera kali. Hata mwonekano wake unajidhihirisha. Bahati mbaya ni Chinese version tu ingawa unaweza kuiflash ikawa Global version. Kupata Google apps ni rahisi. Pia kuna app ya Xiaomi GetApp ambayo inafunction kama Playstore, inapatikana kwenye simu za Xiaomi. Uzuri wa app hii ni kwamba unaweza kutumia bila hata kuwa na account, yaani unadownload tu app hamna haja ya kujiregister kama ilivyo PlayStore. Bei ya Xiaomi 12S Ultra ni around TSh 2.1M AliExpress
View attachment 2515193
8. Google Pixel 7 Pro
Hii ndio simu yenye weakest chipset kwenye list hii lakini nimeiweka hapa kwa sababu ya unyama wake kwenye kamera na software. Bei yake ni around TSh 1.8M AliExpress
View attachment 2515195
9. Motorola Edge 30 Ultra (a.k.a Motorola Moto X30 Pro in China)
Hii ndio simu yenye bei fair sana kwa bei yake maana ni 1.3M tu lakini inashindana na simu za 2M.
View attachment 2515213
10. Xiaomi 12T Pro
Miongoni mwa Xiaomi zilizopendwa ni hii kwa sababu ipo straight focused on display na kamera, tena kwa bei ya 1.2M lakini bado inashindana na simu za 2M. Bila shaka ndio simu bora zaidi kwa bei hii (TSh 1.2M). Global version pia ipo
View attachment 2515217
Mimi hata ukiniroga ukiniambia nichague simu hapo nitachagua Xiaomi 13 Pro hata kama najua kuna simu zaidi yake
NB: Hii list ni kwa mtazamo wangu kwa hiyo kama kuna sehemu unaona haipo sawa unaweza kuniambia
Mkuu Mimi natumia Xiaomi Poco X 3 ni nzuri sana hasa upande wa bettry ni 5600 A
 
Mbona watu wenye iPhone wanaibiwa Sana, au ni wezi gani hao hawapendi kuiba iPhone

Hii security ambayo Wabongo wanang'ang'ana nayo haiwasaidii chochote kwa sababu wengi wao wamenunua simu kwa kufuata mkumbo kwa hiyo hawana uelewa na haya mambo kwa hiyo hata siku wakiibiwa wanashindwa wafanye nini ili kupata simu zao
Iphone za wizi utumika kwajili ya spea tu, l phone ukiiba wakiamu kukutafuta watakufata mpaka chumbani kwako, au Mwenyewe simu anaweza kuiblock na usiweze kuitumia ukawa nayo kama pambo tu.
 
Back
Top Bottom