Simu kujiwasha data na wifi yenyewe

Simu kujiwasha data na wifi yenyewe

simu.yenye avast atitheft ikibadilishwa simcard inajiwasha wifi na data yenyewe. angalia kwa makini.isiwe ni simu ya wizi. avast antitheft ni Hard reset PROOF

Ila mkuu, Kitkat ina matatizo hayo sana, Lollipop iko vizuri
 
Kuna apps zinazo control cm kuwesha data na wifi automatic either ikiwa low batter ili iweze kurecord location ya mwisho b4 cm kuzima, pia huenda m2 mwingine ame-install baadhi ya application na anacommand cm kuwasha data, wifi au gps ili aweze kujua location uliyopo
 
Back
Top Bottom