Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Hi,
Habari zenu ndugu zangu.
Hivi karibuni nimepokea toleo jipya la android (android 11), baada ya kufanya update, nimekumbana na tatizo kwamba simu inafuta miziki yenyewe kila ninapoipakua.
Nahitaji msaada Kwa anaejua jinsi ya kurekebisha tatizo hili.
Natumia Samsung galaxy A 21s.
Asante.