Simu kufuta contact numbers

Hongera kwa kuzipata, usisahau kuleta mrejesho hapa wa huyo Faridah😂😂😂
 
Simu gani hii inafuta contacts zako automatically mwanetu?
zipo mkuu ila usiombee ikutokee
yani unaamka asbh unakuta simu yenyewe tu imeamua kufuta nusu ya contacts au zaidi

hlf haiangalii huyu ni mme au mkeo, mzazi, mchepuko yenyew inafuta tu[emoji1787]
 
Tecno spark 10 yangu ilifuta nikajua mke wangu amenifanyia uhuni maana pasword anaijua. Lakini nikawa najiuliza mbona namba nyingi hazina tatizo! Nikimwangalia usoni ana amani kabisa, yaani kama hakuna kilichotokea, nikajisemea moyoni basi bwana.

Tumeachana mchana majina yakarudi yote, siku nyingine ikanifanyia mchezo huo huo nikiwa peke yangu. Nikaona isiwe tabu, nikauza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…