Simu kuchelewa kupokelewa customer care | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu kuchelewa kupokelewa customer care

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ccr airtel, May 15, 2011.

 1. c

  ccr airtel Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau tatizo ni kwamba kupiga simu huduma kwa wateja ni bure so kuna wateja wengi wanapiga simu hasa wa maeneo ya kishapu,katesh,babati,shinyanga,mtwara (haswa masasi),rorya,tandahimba...Hawa wananchi anaweza akapiga simu (ofcoz anapokelewa kama mteja mwingine yeyote anavyopiga coz huwezi jua shida ya mtu au kujua huyu mtu atauliza nini hadi atakapotamka tatizo lake),kisha anakwambia nilikua nataka kukusalimia tu,au naomba nitumie japo 200 ndugu yangu sina kitu kabisa (hapo ana salio la 500),au akakwambia nilitaka tu kujua saa ngapi, au mwingine anasema,au tatizo jingine kubwa tunalokabiliana nalo kwa sasa ni wateja kuuliza maana ya 200MB (kifurushi cha intanet cha ofa baada ya kuongeza salio),kuna mteja mimi binafsi aliwahi kunipigia simu anataka tuombe coz huko alipo kuna tatizo lamtandao...na hii yote ni kwa sababu huduma ni ya bure with no limitation,au unaweza kukuta mteja mwingine haweki salio kazi yake kupiga tu namba 100 na akipokea mwanaume anakata (shida yake ni wadada tu)...ila ukweli ni kwamba kwa siku wafanyakazi wanaokua online kuhudumia wateja ni zaidi ya 350 na bado wanaongezwa na kila mmoja anapokea wastani wa simu 165 wastani wa dk 2.5 kwa simu...AHSANTENI SANA WADAU KWA KUCHAGUA AIRTEL KUMBUKENI WEEKEND OFFER SALIO KUANZIA 1000 UKIONGEZA UNAPATA 10 MINUTES FREE,100 SMS NA KIFURUSHI CHA 200MB KUANZIA SAA NNE USIKU HADI KUMI NA MBILI HASUBUHI
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii mpya. Wanapiga customer care wanaomba salio!
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ukosefu wa kazi za kufanya au utoto?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  wana moyo...maana hadi hiyo cc ipokelewe ni hadi simu imepata moto
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  unaweza ukawafikiria vibaya watu wa hivyo ila hiyo inatokana na namna anavyohudumiwa.
  Nimeshapiga mara nyingi wanapokea wadada ila naye akishajua anaongea na mdada mwenzie hakupi huduma kwa namna nzuri. Ataongea kama amechoka au kalazimishwa. Tofauti na akipokea mtu wa jinsia tofauti.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  kumbe hii kitu imehamia na kuwa ni kwa w/ends.....sasa mbona hamtujulishi wateja kuwa mambo yamebadilika......halafu hizi offer za 200mb zinawekwa usiku namna hiyo kwa nini isiwe kuanzia hata saa 2 usiku? kwa muda wa maongezi kidogo sawa......ni maoni yangu tuu lakini
   
 7. c

  ccr airtel Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  husninyo tanzania ni kubwa hii,na ukiskia kuna watu hawajasoma ujue hawajasoma kweli for sure katika simu 165 ukipokea kwa siku wateja wenye matatizo kabisa ya kusababisha kupiga ccr hawafiki 20 believe me...mwingine anakupigia simu unamwambia tafuta kalamu na karatasi nikupe maelekezo anakwambia sijui kuandika...au analalamika kuna message amepokea unamuuliza inahusu nini anakujibu sijui kusoma (na ni kweli),au mwingine anapiga simu akidhani ni studio labda ya redio fulani unamuuliza nikusaidie nini anakujibu natafuta mchumba...sasa hawa wote ndo wanasababisha mnapiga simu hadi zinakua za moto (na uhakika hiyo simu lazima itakua mchina)...ila ndo wateja we need to go with them slowly mwisho wa siku anakuaga na kukukaribisha huko kwao ukale viazi
   
 8. c

  ccr airtel Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wateja raha ilipokua saa sita walisema kwann isiwe japo saa nne saiv wanataka saa mbili...ila ni maoni na lazimayaheshimiwe...kumbuka kama utaweka vocha iwe ni ya 1000 sio mia tano 2 na kuweza kutumia ofa yako salio liwe zaidi ya sh 4
   
 9. d

  dropingcoco Senior Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu juzi niliweka vocha za elfu elfu 3, sikuona message yoyote ya kuniambia kuwa nimepewa offer, au ndio imehamia hiyo weekend
   
 10. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Hamna kitu hapo, yaani watu wa marketing hapo ndio mnaona mmetoa offer, mtu aanze kutumia kuanzia saa nne usiku? nadhani offer hiyo mngewapa wanafunzi/wanavyuo kwani wao mida hiyo wanakuwa wako macho, lakini mtu kama mimi huduma hiyo hainifai..
   
 11. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  KIUKWEL AIRTEL mmeanza kuwa wababaishaji kama hawa ndugu zetu wa kigali kidogo.Zamani ilikuwa ukipiga simu airtel unapokelewa haraka sana.MIMI nilishapiga simu siku mbili mfululizo bila kupokelewa na mtu yeyote yule.Tatizo kubwa nilikuwa sipati comfirmation sms ya bundle ya mb 400.Siku ya tatu akapokea sharo baro akasema hajui jinsi ya kunisaidia.Nilikaa nikaja kupata msaada kwenye ofisi ya huduma kwa wateja baada ya miez miwili tangu tatizo litokee.JIREKEBISHENI.NA WALA USINIBISHIE NASEMA UKWEL MTUPU!
   
 12. c

  ccr airtel Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  usinibishie nasema
  ukwel mtupu.nimependa hapa mwisho ulivyomalizia
   
 13. c

  ccr airtel Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ukiona muda huo unakua sio favourable kwako mkuu unaweza kutumia huduma ya jirushe dk 240 free kwa sh 1900 kuanzia kumi na moja hasubuhi hadi 12 jion,andika tu neno jirushe kwenda namba 15354
   
 14. c

  ccr airtel Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  week end inaanzia ijumaa hadi jumapili
   
 15. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yaani ndugu hii strategy ya kujibu matatizo ya wateja kwenye net au social networking kama itakuwa serious, I am telling you mtaona changes nyingi saana. Maana maelezo yako yanatia moyo kwamba malalamiko yao yanasikia na kujibiwa. Hapo nina hakika umeokoa simu nyingi.
   
Loading...