kweli mkuu umejitahidi kwa uchambuzi ila nasikitika kwa vile bongo hazipatikani.mkuu hata huawei hazipo tanzania?
android yenyewe ina diversification kubwa still watu bado wanaiongeza. Mimi siwezi kumrecomend mtu akanunue simu yenye chip ya ajabu ajabu sababu itamtesa mbele ya safari.
Hapo juu labda oppo na hao meizu wanadeserve kupewa shavu na kidogo zte hao waliobakia ni pointless.
Nimejaribu kutembea maduka mengi ya Tz hasa Dar, Arusha na Moshi simu hizo hakuna. Hii nadhani inatokana na watu wengi kutokuzifahamu na hivyo wenye maduka kutokuziagiza. Ndio maana ukitembea maduka mengi Tz utakuta brand zilezile kila unakokwenda. Nadhani tubadilike
chief-mkwawa hizi Network frequency kwa Mitandao yetu inafanya kaziandroid yenyewe ina diversification kubwa still watu bado wanaiongeza. mimi siwezi kumrecomend mtu akanunue simu yenye chip ya ajabu ajabu sababu itamtesa mbele ya safari.
hapo juu labda oppo na hao meizu wanadeserve kupewa shavu na kidogo zte hao waliobakia ni pointless.
Nitanunua EBAY ZTE Nubia Z5S mini IPO POA SANAAAA
Nimependa specification zake
chief-mkwawa hizi Network frequency kwa Mitandao yetu inafanya kazi
Hasa hiyo HSDPA
ascend p6 zipo tayari tz wanauza 750000
Nimejaribu kutembea maduka mengi ya Tz hasa Dar, Arusha na Moshi simu hizo hakuna. Hii nadhani inatokana na watu wengi kutokuzifahamu na hivyo wenye maduka kutokuziagiza. Ndio maana ukitembea maduka mengi Tz utakuta brand zilezile kila unakokwenda. Nadhani tubadilike
sawa sawa Mnafiki wa TECNO !
Asante naona Akili ndo zimeishia hapo
Hujui Hata unachoongea na Ma TECNO yako
Huwezi hata ukakaa chini na Kufikiria kwanza unacomment ndo baadae unaanza kusoma Topic
Hujui hata Samsung.. Iphone zinafanyiwa Assembly china. Na Kwenye Cover nyuma zinaandikwa Made in China By Samsung au.Made somewhere by Samsung.
Hizi simu zimetengenezwa China Ndiyo na Makampuni Yenye heshima. MFANO ZTE/HUAWEI.
Si Tecno anaiga kila kitu kutoka Samsung. Halafu hayupo hata kwenye List za website kubwa kama GSMarena ila angalia ZTE phone zipo
ANGALIA BEI ZA HIZO SIMU KWANZA USIROPOKE. Hakuna simu ya chini ya Laki nne hapo. Mlidhani watu wa tecno mleta Mada amekuja kuwakomboa na Vi simu vyenu vya laki na Nusu. Hii si level yako bado hata zikiwepo Mjini utabaki na Tecno yako milele