Simu kali zenye mvuto za kichina usizozijua

Simu kali zenye mvuto za kichina usizozijua

Kaka ila huwezi kuupinga ukweli kwamba wewe ni mnafiki mkubwa sana ! Wa TECNO

nimeona comments zako hapo nyuma na ndiyo maana leo sijakurupuka tu kukutaja wewe mana huwa nakuona una iga iga tu nakujifanya nawe ukiwapinga TECNo!

Alafu unapotoa hoja hauwi na facts za kueleweka! Huwa unaenda out kabisa!

Nimekuona jana! Kwenye comment fulani ! Hivi eti kuonesha kama wewe ni nguli wajukwaa hili ! Ukamwambia yule jamaa eti una sticky pale juu! Hoja ambayo ilikuwa op kabisa! (tuache hayo)

unadaoi TECNO ame copy kwa samsung!
Mbona samsung nae kam copy apple !

Afu wewe unadai TECNO ana copy kila kitu kutoka samsung! (nipe sababu)

afu mi niliongea tu kawaida kama utani tu lakini wewe una act like a ----in-- baby!
Acha dharau na mimi situmii TECNo kwa taarifa yako !
Na nilianza kuwatetea TECNO users kitambo sana! Ila nakushangaaga wewe usiye na facts zozote unavyokurupuka hapa!

Sasa nani mwenye dharau humu .. kuniita mnafiki ndo salamu za Asubuhi kwenu au?

Tatizo unasema unatetea Tecno kwa Facts zipi hizo? za Waleta Mada kuifananisha na S4 ndo unasema unaewatetea..... Tecno hawezi kufanana na hata simu moja hapo juu

Jana ulisema nimeandika nina sticky Topic yes ipo Wewe una nini cha kuwasaidia wanaJF humu.

Endelea kuwatetee watu wa Tecno sasa sijui wewe unafacts gani za kufananisha na Samsung S4 za Waleta Mada
 
kwa hapa moshi maduka yanayouza hzo sm ni wap???
 
Back
Top Bottom