Ndo maana nikasema ni mawazo ya kimasikini maana huwezi kupigia bajeti hela ya mwenzio, ishike yako ndo upigie bajeti na sio ya mwenzio iliyopo kwenye bajeti yake kuona kama kakosea kuiweka kwenye hiyo bajetiSio hivyo mkuu. Kila mtu ana kipaumbele chake na ndoto zake za maisha. Mwingine anawaza kupata mtaji wa banda na chips kwa laki 5 ilhali mwigine anahonga demu milioni 2 na gari juu, ama ananunua simu ya milioni 3. Accept our diversities!
Sasa wewe unataka Simu unataka biashara? Mwenzio anataka kutumia sio kuzalisha.Mkuu si bora nikafungue mabanda ya kuuza chips kwa siku niwe nalaza laki kwa siku
Kila mtu na passion yake km ww ni biashara fanya biashara sio lazma wote wawe wauza chipsi upambane tu na hali yakoMkuu si bora nikafungue mabanda ya kuuza chips kwa siku niwe nalaza laki kwa siku