Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,629
- 3,722
Nimeshaweka bossUnapotafuta kujua simu nzuri ya kutumia, ni vyema uweke wazi madhumuni ya uhitaji wako, bajeti n.k
Mtu anaweza toa consultation kulingana na information anazozikusanya toka kwa muhitaji
Ushauri nzuri achukue hiyo atojutia [emoji91]Redmi 10C japo itabidi uongeze hela kidogo 310k mpaka 350k.
Msaada Redmi 10c yangu haitoi sauti kwenye notification za WhatsApp tu.Redmi 10C japo itabidi uongeze hela kidogo 310k mpaka 350k.
Angalia setting za ndani ya whatsapp nenda setting kisha kisha notification kisha conversation sound.Msaada Redmi 10c yangu haitoi sauti kwenye notification za WhatsApp tu.
Ungeitaja tu yoyote unayoijua inakidhi vigezo hapo juu na kusema changamoto yake ni chaji labdahKwa vigezo vyoote ulivyotaja nikataka kukutajia simu nzuri lakini nilipoona kigezo cha chaji basi nimeghairi... hakuna namna nyingine hapo nunua infinix tu!