Nimepunguza 170000190k hupat mteja
Sawa watakuja kununuaInfinix simu za wamama.
Toa hiyo moja tufanye biasharaHabari ndugu zangu nauza simu Aina ya Infinix smart 7 HD ipo katika Hali nzuri Haina kipengele imetumika miaka 2 tu bei ni sh 190000 TSH karibuni maelewano yapoView attachment 3661700View attachment 3661701
Nimepatwa na shida ikiwa haraka itapendeza zaidi tukifanya biashara, simu ni yangu mwenyewe ata kwa Mwenyekiti tunaweza kwenda kuandikishana
Mkuu mbona utakuwa umeniumiza sana dah!Toa hiyo moja tufanye biashara
Mwisho 170000 Nina shidaToa hiyo moja tufanye biashara
SawaUnataka kuuza bei uliyonunulia na simu ushaitumia miaka 2??
Sio kwa ubaya ila hiyo bei na aina ya simu ni tofauti.
Ingia kwenye groups za "vitu used" facebook, tangaza huko huenda ukapata mteja.
Na ukiendelea kulia kua una shida utaiuza hata 10k.
pole ndugu izi shida ni hatari mi nataka niuze nyumba bora wewe simuWakuu umefika 160000 nauza simu naomba mnununue na shida jamani naombeni 🙏😭
Dah!pole ndugu izi shida ni hatari mi nataka niuze nyumba bora wewe simu
Poles sanapole ndugu izi shida ni hatari mi nataka niuze nyumba bora wewe simu