Simu inauzwa phantom 6

bic2kn

Member
Feb 18, 2017
76
22
simu ni ya tarehe 13 feb. Iko vizuri haijachubuka hata kidogo,box lake lipo lenye ime namba ya simu husika. Ni gold kwa rangi. Bei haipungui 480000. Piga 0657137745
0785717499
0769386392 nko dar maeneo ya magomeni hapa karibuni sana. Asante
 
Kuna laki tatu hapa mkuu haraka
 
Ingekuwa vyema ungeweka picha yake halisi hapa. Ushauri: Kama umekataa 350K usawa huu ndugu ujue utakuja kuiuza chini ya hapo.
 
Hivi mpaka leo mtu unanunua cmu mkononi kwa mtu usiyemjua??
Una uhakika gani kuwa hiyo cmu haijatumika kwa uhalifu?
Utajitetea vp ckubukiambiwa hyo cmu ilitumia line xxxxxx kufanyia uhalifu yyyyyyy mwaka flani?
 
Back
Top Bottom