Simu inatumia laini moja tu tena voda

Simu inatumia laini moja tu tena voda

KIBESENI

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
360
Reaction score
351
Nimepata simu aina ya Alkatell inatumia laini moja tu tena voda na upande mmoja tu. Upande wa pili haisomi lain yoyote hata ukiweka voda inadai password isiyojulikana.
Unaweza ku isaidia
 
Nimepata simu aina ya Alkatell inatumia laini moja tu tena yvoda na upande mmoja tu. Upande wa pili haisomi lain yoyote hata ukiweka voda inadai password isiyojulikana.
Unaweza ku isaidia
Rudisha ulipoitoa ww huiwez mpaka mwenyewe
 
Mrudushie mwenyewe au kama umenunua dukani rudisha wakupe pesa yako au onana na mafundi wa ku_unlock network
 
Nenda kwa fundi akuflashie au naweka ofa mezani kula 20k
 
Nimepata simu aina ya Alkatell inatumia laini moja tu tena voda na upande mmoja tu. Upande wa pili haisomi lain yoyote hata ukiweka voda inadai password isiyojulikana.
Unaweza ku isaidia
Hyo simu inabidi ifanyiwe unlocking ndiyo itaweza kusupport line ya mtandao wwte. Na kuhusu hyo slot ya pili inaweza kukaa sawa na kuweka chip nyingine ukatumia
 
Kuwa makini uki flash inaweza kufa kabisa. Hizo simu zinatolewa na vodacom tu kwa Tanzania haziuzwi wanawapa mawakala kwa ajili ya usajili wa laini.
 
Wewe ndo umesema kweli, niliipata kwa wakala kaniuzia mimi si wakala wala sina mpango wakuwa wakala. Sasa nifanyeje?
Kuwa makini uki flash inaweza kufa kabisa. Hizo simu zinatolewa na vodacom tu kwa Tanzania haziuzwi wanawapa mawakala kwa ajili ya usajili wa laini.
 
Back
Top Bottom