Simu inatumia data kuliko kawaida, nini cha kufanya

Simu inatumia data kuliko kawaida, nini cha kufanya

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
6,199
Reaction score
10,837
Kwa vile JF ina kila mtaalamu, ninaomba msaada wa kujua ni nini sababu ya simu kutumia data kupindukia. Mb zinakatika kama umeme. Hapo awali haikuwa hivi. Hii simu ni mpya.

Ahsanteni.
 
Je, inawezekana nisiwashe data na nikaweza kutembelea humu JF?
haiwezekani.Huwezi ukafunga mlango mkuu wa nyumba yako kutegemea utaingilia mlangoni na ukiwa ni mmoja tu unautegemea labda tu ubomoe paa urukie kwa juu hapo sasa ndio kuna kitu kinaitwa WIFI na wifi nayo ina sehemu zake maalum mfano uko hotelini unapewa access ya bure.
 
Back
Top Bottom