Nimepaona mkuu, nishaweka ON!Kuna kitu kinaitwa data sever
Bando kama hlo bei gan mkuuFanya Yafuatayo:
1. punguza magroup ya whatsapp unayotumia maana chats nazo zinakul data
2. Piga STOP automatic data back up ya whatsapp
3. Piga STOP auto play videos kule FB
4. Weka LIMIT ya data USAGE mfano 100mb per day ikifika hicho kiwango simu itajizima DATA.
Mwisho kabisa ongea na ndugu geosir akuunge bando kama hili kwa bei poa sana utaenjoy mwezi mzima
View attachment 2604444
Mkuu, umeongea mambo makubwa sana.1. Apps zimekuwa more developed na zina features mpya kila baada ya updates kufanyika. Eg. Tazama Instagram ya mwaka 2015 ilivyo na ya sasa. Whatsapp ya mwaka 2015 na ya sasa ni tofauti. Hizi apps kwa sasa zinafanya kazi muda wote ili kupokea na kutuma taarifa.
2. Smartphones ni kifaa kinachotumiwa na makampuni kukusanya taarifa (research). Hii hufanyika kwa kuweka bugs au secret apps kwenye simu yako ambazo zinakuwa pre-installed kutokea kiwandani ila wewe hautaziona. Siku unapowasha tu simu kwa mara ya kwanza zinaanza kuwa active kukusanya data.
Tazama unapowasha apps zinaomba permission ya access ya mic, files za sim, Phone book au Contact ili ziweze kupata taarifa zako pale unapoongea na simu zinarekodi, unapoweka simu mezani zinasikiliza mazungumzo kupitia mic [emoji2424] na kurekodi tena kwa sauti clear kabisa, wanapitia contact list yako ili kupata taarifa za watu unaofahamiana nao na social cycle yako na wao wanaweza kutumia taarifa hizi kwa shughuli za kibiashara na inawapa faida kubwa sana kiufanisi na kifedha.
3. Quality ya video na sauti inabadilika kila siku kwahiyo inamaanisha more data will be consumed during streaming.
4. Kiwango cha data packages makampuni ya mitandao yanaoffer hakijazingatia mabadiliko ya technology. Yaani bundles hazijalenga mahitaji halisi ya sasa.
Simu nyingi za kisasa zinakuja na speed ya 4g,5g, na 6g inanukia sokoni. Apps zipo aggressive kutumia data kushare information zake kwa users. Apps ni nyingi sana na matumizi tofauti ni ngumu mtu kuwa na app moja ambayo itampa raha zote.
Kampuni za simu zinatoa packages ambazo zinalenga soko la Smart phones users wa miaka ya 2014 huko ambao uhitaji wa data ulikuwa chini sana. Sijajua shida ipo wapi hafi wanashindwa kujiadjust.
Anyways, kwa sasa suluhu au muarobaini wa hii kero ni mojawapo kati ya hivi viwili. Kuongeza ujazo wa bundles za data kwa bei hizi hizi ili kubalance thamani ya pesa na matumizi ya huduma. Mfano GB moja kwa sasa ili iwe affordable inabidi kuuzwa kuanzia 500 au kusiwe na kifurushi chini ya GB1.
Upande mwingine uwekezaji wa miundo mbinu ya fiber ni muhimu sana ili yapatikane makampuni ya mengi ya kusambaza huduma ya internet popote pale na kwa speed kubwa sana.
ELFU 10 TU KWA MWEZI... NENDA KWA geosir akupe utaratibuBando kama hlo bei gan mkuu
Tiyari mkuu, na matokeo chanya nimeyaona. Asante.Washa data saver pia
Data saver ni muhimu sana katika kutunza MB zako
Mkuu naomba mwongozo jinsi ya ku limit dataFanya Yafuatayo:
1. punguza magroup ya whatsapp unayotumia maana chats nazo zinakul data
2. Piga STOP automatic data back up ya whatsapp
3. Piga STOP auto play videos kule FB
4. Weka LIMIT ya data USAGE mfano 100mb per day ikifika hicho kiwango simu itajizima DATA.
Mwisho kabisa ongea na ndugu geosir akuunge bando kama hili kwa bei poa sana utaenjoy mwezi mzima
View attachment 2604444
Nenda kwenye data usage, weka LIMIT kiasi cha mb au Gb Unazotaka kwa sikuMkuu naomba mwongozo jinsi ya ku limit data
sawa mkuu nashukuruNenda kwenye data usage, weka LIMIT kiasi cha mb au Gb Unazotaka kwa siku