TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 351
wadau,
Nimesaidika mengi mno kupitia kwenu na sasa naombeni msaada wenu kuhusu hili.
smartphone yangu aina ya tecno S9 imegoma kabisa kusoma sim card na nimeshindwa kabisa kugundua tatizo na bado ni mpya ya mwezi 1 kasoro tangu niinunue kwa laki 2 na 30.
Msaada wajameni.