Simu inapokuwa sisimua!!!

Hapo kwenye bold ndio mashaka huanza; Kwa nini ahitaji kutumia nguvu kukuelimisha na si busara ili uelewe?:A S-eek:


Aisee, mi siafikiani kabisa na mpango wa kuchunguzana kwenye simu. Mobile phone ni kitu so personal. Ni kama diary. Kila mtu ana haki ya kuwa na privacy yake maishani. Simu ni privacy ya mtu. Arguement yangu ni kwamba, huwezi kumjua kila mtu anaewasiliana na mwenzio so kama utachungulia simu yake, maswali yatakuwa mengi sana ati! Hayo maswali yatakuumiza moyo na kichwa na pengine kusababisha mwisho wa uhusiano kwa kutokuelewana. Mi binafsi sipendi kabisa kukagua simu ya mwenzangu na pia vile vile nategemea na yeye asipekue yangu.
 
Back
Top Bottom