Kama unajiamini uko safi mpe ahangaike nayo ikimchosha atakurudishia . lakini kama hujiamini ndo hapo sasa :lie:
Tena mwambie ya kwake akupe wewe ili utumie katika kipindi akiwa na ya kwako ..
Kama unajiamini uko safi mpe ahangaike nayo ikimchosha atakurudishia . lakini kama hujiamini ndo hapo sasa :lie:
Tena mwambie ya kwake akupe wewe ili utumie katika kipindi akiwa na ya kwako ..
Nafikiri kuna mambo ambayo huwa ni ya binafsi zaidi. Unaweza kuwa una mambo mhimu ambayo unawasiliana na wazazi wako au kuna jamaa zako ambao mnafanya nao mambo ambayo si lazima mkeo ajue, sasa kama kila simu itakayopigwa na msg itakayoingia anataka na yeye asikie au asome ina maana sababu ya kuwa na simu ya kiganjani ni nini? Si bora kununua TTCL ya mezani? Kwa mfano ofisini huwa kuna siri nyingi na za aina tofauti tofauti. Kuna ambazo unaweza kushare na mkeo au mmeo kuna nyingine huwezi. Sasa kama akikagua simu yako akaziona itakuwaje? Nafikiri ni vizuri kuwe na mipaka ya uhuru katika simu.mwanamke ana matatizo na wewe pia .....
kwani lazima na wewe ufiche? trust me ukiwa hufichi ataacha kukuuliza............na pia kama unataka uache kuulizwa msg zinatoka wapi, zile msg za muhimu uwe unamuambia zinasemaje kabla yeye kukuuliza.
Simu ni mali halali ya mtu anayeimiliki. (Nashukuru wazo la kuzisajili lilibuniwa) Ana uhuru wa kumpa mtu mwingine aitumie au laa. Hakuna mtu yeyote mwenye mamlaka ya kunilazimisha atumie simu yangu au aangalie kilichoandikwa kwenye simu yangu. Hamna mwenye mamlaka ya kujua nimempigia nani au nani kanipigia. Mi siipekui simu ya mke wangu naye ni marufuku pia kuipekua simu yangu bila idhini yangu....Period!!:closed_2:
Sure,
Watu wengine wanajitakia matatizo. Kama analilia simu, si ampatie tu. Kung'ang'ania kuificha kunazidisha wasi wasi. Mimi simu yangu iko huru kuguswa wakati wote kama bidhaa za wamachinga. Namna hiyo vuvuzela zitatoka wapi?
Kwa shari au amani? It sounds evil!
Hatuongelei kupekua. Tunaongelea kuwekeana vikwazo na mipaka isyo na msingi. Pia hatuongelei mtu yeyote hapa. Tunaongelea mke au mume. Hata hivyo kila ndoa ni "Taifa huru" (sovereign state) na kama wote mnakubalina na hali hiyo hakuna neno. Tatizo ni pake ambapo kila mmoja anahisi hatendewi haki kama kwenye hii story. Dawa yake ni kuweka codes?
Umenichekesha sana DC na hiyo sentesi yako hahahahahaah
Mi simu yangu inawekwa security code siku hiyo hiyo iliponunuliwa.
Karibu mkuu. Wewe umeshaweka codes?
Nashauri hata kule vyumbani pia tuweke codes. Ila mpwa, kuna msg unakutana nayo kwenye simu ya my wife unatamani kufa!! Inataka moyo lakini, ingawa ni bora tu kujua kama unaishi na mtu au panya kwenye debe la unga!!