Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,220
- 44,194
Gps ikiwa off zipo njia za kuonyesha location ila sio sahihi kama gps. Ila kama data ipo off ni ngumu kuonyesha.mkuu kama simu iliibiwa na gps ilikuwa ipo off na data off, je hiyo device manager itaonesha
Pole yake! Ila, simu hiyo ILIIBWA, sio KUIBIWA! KUIBIWA, ni baadhi ya vitu vya hiyo simu KUIBWA. Mfano, Betri, Memory Card, Line nk, lakini simu yenyewe ipo. Hapo aliyeibiwa ni MWENYE SIMU, na sio SIMU IMEIBIWA!mkuu kama simu iliibiwa na gps ilikuwa ipo off na data off, je hiyo device manager itaonesha
Polisi watakusaidi japo huwa inachukua muda sanaWAandugu habarini nimeibiwa simu aina ya sumsang J5 grand prime. Nimeripot kituo cha police na kufungua jalada la uchunguzi. Nina IMEI namba za hiyo simu. Kikubwa nilipapuliwa na Boda Boda wakati npo nnaongea. Nnaombeni ushauri na namna nnaweza ipata simu yangu. Natanguliza shukrani
Sure siku hizi hata wezi washajua wakiiba wanazifanyia mafyekefyeke flani ndio wanaiuza.Hiyo simu hutoipata ,usijiangaishe.
Siku nyingine unapoandika tumia lugha moja tu, sio kutuchanganyia lugha mbili tofauti, VITA INAMALIZWA NA VITAPole yake! Ila, simu hiyo ILIIBWA, sio KUIBIWA! KUIBIWA, ni baadhi ya vitu vya hiyo simu KUIBWA. Mfano, Betri, Memory Card, Line nk, lakini simu yenyewe ipo. Hapo aliyeibiwa ni MWENYE SIMU, na sio SIMU IMEIBIWA!