simu imeandika neno SOS arafu inadai uingize code...unatatuaje hili tatizo.

simu imeandika neno SOS arafu inadai uingize code...unatatuaje hili tatizo.

poul

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
56
Reaction score
17
hili ni moja ya tatizo huwa naliona mara kwa mara.
 
Save Our Souls

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hili ni moja ya tatizo huwa naliona mara kwa mara.

Sasa hapa tuanzie wapi kukusaidia maana hata kuomba msaada kwenyewe huwezi cjui tukikupa huo msaada utaweza kuupokea???
 
Back
Top Bottom