Simu hizi ni balaa

watu wengi hasa vijana wanaendeshwa na simu sana, hawana utambuzi kabisa , japo mimi ni kijana lakini kwakweli nashukuru simu hainiendeshi nakukosa amani pia najitambua mimi ni zaidi ya simu au chochote, hivyo simu yangu sina hofu ya kumpa mtu atumie, iwe mtoto hata mtu mzima, ilimradi tu atumie kwa matumizi mazuri kama navyo tumia mimi,
 
Mm hua nampa tu wala
Siangaiki nae nnachoomba

Tu n mwenzake acje akapga
Cm wala kutuma sms maana
Najua kitakachotokea
 

Hadithi hii kakufundisha nani? Na amekwambia inatufundisha nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nikiombwa simu cha kwanza ni kufuta dowloaded pictures na kufuta searching history!!!
Natafutaga vitu vya ajabu sana online!!! Mtu anaweza dhani am a creep
 
Mi kwa kweli simu yangu sitoi. Kwanza inatumia biometrics so mtu mwingine hawezi kufungua.
 
Ukiona mtu anaangaika kutoa simu usiangaike kuuliza kwa nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nikiombwa simu cha kwanza ni kufuta dowloaded pictures na kufuta searching history!!!
Natafutaga vitu vya ajabu sana online!!! Mtu anaweza dhani am a creep
Weeee kama mimii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…